Kamishna jenerali wa magereza awatangazia vijana walioomba ajira kuputia makao makuu ya jeshi la magereza kwanba kutakua na usaili kuanzi tarehe 02 hadi 06 Disemba 2021, KATIKA ukumbi wa MJ Gen SM Mzee uliopo DODOMA kuanzia saa mbili na nusu asubuhi.
Kusoma majina ya vijana wanaoitwa kwenye usaili bofya PDF link hapo chini
Download PDF file below to view the list of names called for interview